Naomba kujuzwa juu ya hili, kuna guide book ya TCU na ya NACTE?
Ukiangalia TCU guidebook ya 2014/2015 St. Francis university (Ifakara-Moro) inatoa Bachelor of MD tu lakini ukiingia kwny website yao wanasema wanatoa Bachelor of MD na ya MEDICAL LAB.
Nimewapigia kwenye no +255232625376 nilijibiwa kwamba Bachelor of MEDCAL LAB inapatkana kuptia NACTE na sio TCU , kama kuna alieaply MEDCAL LAB St. Francis university naomba anijuze code yake.