Evans-Arsenal JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 868 Reaction score 1,385 Mar 7, 2016 #1 Naomba mtu mwenye hii guideline anitumie maana kwenye website ya NacTe link yao haifunguki
D deogratiusmgomo Member Joined Jun 21, 2015 Posts 8 Reaction score 1 Mar 7, 2016 #2 Ni kweli mkuu hata mim nahangaika tangu walipotangaza lakini haifunguki mpaka leo
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Mar 7, 2016 #3 kiza kimetanda usiku wa manane hawajui nani amshike nani
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,175 Mar 7, 2016 #4 ipo fungua tu deadline 31/5/2016
D deogratiusmgomo Member Joined Jun 21, 2015 Posts 8 Reaction score 1 Mar 7, 2016 #5 Wameandka tu dealine hap lkn guide book haipo