Kwa baadhi ya Wanasiasa na viongozi mbalimbali madhira ambayo wameifanyia nchi hii.... Mi kweli nasema mtu wa namna kwanza anahukumiwa kifungo cha kwenda Jela Miaka 20.
Akimaliza akitoka ndo kesi yake sasa inaanza sikilizwa ajitetee ili asiende tena ndani kwa kifungo cha miaka 100 bila msamaha.
Ni uhuni tu wanafanya. Wanaonea wananchi maskini hawa kwa kujinufaisha wao. Wanalipiwa umeme, maji,chakula,usafiri,malazi,maradhi na bado wanakuja kuongea pumba dhidi ya wananchi.
Hawa ni Guilty moja kwa moja mpaka watakapo prove Innocent.