Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mawakili wa Rais wa zamani wa Guinea, Moussa Dadis Camara, wanasema amepelekwa jela kabla ya kusikilizwa kwa kesi yake ya kuhusika katika mauaji ya Halaiki ya Mwaka 2009.
Rais huyo anakabiliwa na kesi kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji, ambapo watu 156 waliuawa na maelfu kujeruhiwa huku zaidi ya Wanawake 100 wakibakwa wakati wa maandamano ya Upinzani enzi za Utawala wake.
Mashuhuda wa mauaji hayo wamesema kuwa vikosi vya Usalama viliuzuia uwanja uliotumiwa na Waandamanaji kisha kuwapiga risasi na kuwachoma visu.
………………
Lawyers for Guinea's former president, Moussa Dadis Camara, say he has been sent to jail ahead of his trial for his alleged role in a stadium massacre 13 years ago.
His co-accused will also be detained until the end of the trial, which starts on Wednesday.
An international commission found that 156 people were killed and thousands injured during the opposition protest. More than 100 women were raped.
Witnesses said the security forces blocked the stadium and shot people or killed them with knives.
Mr Camara denies the allegations.
Source: BBC