Guinea: Wachezaji 8 wa Timu ya Etoile de Guinee wafariki katika ajali, wengine 17 ni majeruhi

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Timu ya mpira ya Etoile de Guinee imepata ajali. Wachezaji nane wamefariki dunia na wengine 17 wamejeruhiwa.
Timu hiyo ilikuwa njiani kwenda kucheza mchezo wao wa kwanza wa msimu

====
A bus crash has killed at least eight players from Guinean second division side Etoile de Guinee, with a further 17 injured.

The accident happened just outside the city of Mamou, some 250 kilometres east of the capital Conakry where Etoile are based.

The team were on their way to play in the city of Kankan, a further 400km east of Mammou, in what was meant to be the first match of the league season.

Details of the accident have yet to emerge but reports say that those in a serious condition are being evacuated to Conakry.

Thursday's incident is the second fatal road accident involving a Guinean football team in recent months.

On 30 January, three people died when the team bus of top-flight side Wakriya AC was also involved in an accident.

The night-time accident involved the bus crashing with a stationary truck in Friguiadi, outside the capital Conakry.

Sierra Leonean Alfred Kargbo died at the scene of the crash, while midfielder Aboubacar Camara and bus driver N'Fa Laye died in hospital the following day.

BBC
 
Pole sana kwa sisi Wapenda soka, wachezaji 8 kwa mpigo siyo kitu cha mchezo inatisha sana.
 
hii ajali ingetokea ulaya huko na waliokufa wangekuwa wazungu, dunia nzima ingekuwa gumzo, lakini kwa sababu imetokea afrika na waliokufa ni watu weusi hakuna anaejali
ni kweli kabisa, ndo mana hata hapa unaona huu uzi umekosa wachangiaji.
fikiria 8 wamefariki na wengine ni majeruhi, na kwenye hao majeruhi asilimia kubwa ndo mwisho wa kucheza soka utakuwa umeishia hapa kutokana na ulemavu wa hii ajali
 
Unataka nani achangie wakati hata wewe hujachangia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ajali ingetokea ulaya huko na waliokufa wangekuwa wazungu, dunia nzima ingekuwa gumzo, lakini kwa sababu imetokea afrika na waliokufa ni watu weusi hakuna anaejali

Waafrika kwa waafrika wanadharauliana na kuwathamini wazungu na kuwaona Miungu watu,,unategemea nini sheikh!
 
hii ajali ingetokea ulaya huko na waliokufa wangekuwa wazungu, dunia nzima ingekuwa gumzo, lakini kwa sababu imetokea afrika na waliokufa ni watu weusi hakuna anaejali
Tatizo tunazijua timu za ulaya kuliko za kwetu
 
Nimeona kwenye official page ya TFF wametoa pole kwa huo msiba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…