#COVID19 Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

#COVID19 Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi

Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa kufanya kazi

Pia amesema wasafiri wanaoingia Guinea kutoka Nchi zilizoathiriwa na Kirusi cha Delta wanapaswa kupata Chanjo

=====

All civil servants in Guinea will now be required to prove that they have been vaccinated against Covid-19 before they are allowed to access their work stations.

The new directions follow a special cabinet meeting on Tuesday.

President Alpha Condé directed the prime minister to ensure that ministers and all government staff obtain a health certificate to allow them to work.

He instructed government officers to take vigorous steps and act to protect the public from the risk of infection.

The president has also demanded that people people entering Guinea from countries affected by the Delta variant must be vaccinated, as is the practice everywhere.

He also announced the strict enforcement of preventive measures to limit the virus from spreading among citizens.

These measures include mandatory mask wearing, the indefinite closure of night clubs and other popular and often crowded leisure venues.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom