Guinness World Records wanalipa wanaoweka au kuvunja records!?

Guinness World Records wanalipa wanaoweka au kuvunja records!?

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Habari wana jamvi.
Nimeona watu mbalimbali wakifanya matukio yasiyo ya kawaida lengo ni kuweka records au kuvunja records za watangulizi.

Je, hawa Guinness World Records wanawalipa hao wanaotokea kuweka au kuvunja records. Wanigeria naona wanapambana sana.

Screenshot_20230908-131826.jpg
 
Back
Top Bottom