emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Sep 8, 2023 #1 Habari wana jamvi. Nimeona watu mbalimbali wakifanya matukio yasiyo ya kawaida lengo ni kuweka records au kuvunja records za watangulizi. Je, hawa Guinness World Records wanawalipa hao wanaotokea kuweka au kuvunja records. Wanigeria naona wanapambana sana.
Habari wana jamvi. Nimeona watu mbalimbali wakifanya matukio yasiyo ya kawaida lengo ni kuweka records au kuvunja records za watangulizi. Je, hawa Guinness World Records wanawalipa hao wanaotokea kuweka au kuvunja records. Wanigeria naona wanapambana sana.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Sep 8, 2023 #2 Hapana. Sema wanakufungulia exposure tu.
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Sep 8, 2023 #3 Sidhani Kama Kuna malipo.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Sep 8, 2023 #4 unapata credibility tu hakuna malipo