GUITAR (Both steel and nylon)

erickmalz

Senior Member
Joined
May 27, 2011
Posts
145
Reaction score
11
khabari zenu wakuu,ningependa kubadilishana mawazo na watu wanaojua na wanaopenda kupiga guitar. Natanguliza shukran zangu kwa wataojitokeza
 
Ahaa vizuri namna ya kuchanganya vidole kwenye nyuzi. Sasa swali langu hili:
1. Mimi sijui kabisa kuiga guiter, nikitaka kujifunza itachukua muda gani mpaka niwe nimeshakuwa mtaalamu?

2. Guiter bei zake zikoje?
 
So what do you want to chat about i am a guitarist
Safi sana,2naweza kubadilishana mawazo na kuexchange material na resousez zake, kwa muda gani umekuwa ukiplay guitar and unapiga nn,solo,rythm or bass,
 
Ahaa vizuri namna ya kuchanganya vidole kwenye nyuzi. Sasa swali langu hili: 1. Mimi sijui kabisa kuiga guiter, nikitaka kujifunza itachukua muda gani mpaka niwe nimeshakuwa mtaalamu?2. Guiter bei zake zikoje?
1. Swala la muda itategemea wewe mwenyewe uelewa wako na wepec wa vidole,wapo waliojifunza mwaka mzma ctl hawakuelewa. 2. Acoustic guitar(yasiotumia umeme)yanauzwa laki 1.
 
1. Swala la muda itategemea wewe mwenyewe uelewa wako na wepec wa vidole,wapo waliojifunza mwaka mzma ctl hawakuelewa. 2. Acoustic guitar(yasiotumia umeme)yanauzwa laki 1.
Ok safi sana! Ni vizuri kuwa na guiter lako unajipigia zako nyumbani saaaafi! thanks for info mkuu!
 
Nimekuwa napiga gitaa kuanzia mwaka 1965. Unatakiwa uwe japo na dak 15 kila siku kucheza na gitaa lako
 
Nimekuwa napiga gitaa kuanzia mwaka 1965. Unatakiwa uwe japo na dak 15 kila siku kucheza na gitaa lako
Mm nimeanza kujifunza mwaka jana december,sijawai kuwa na mwalimu,huwa nachukua lessons from internet,kwakwel nimeimprove saaaana.
 
Mm nimeanza kujifunza mwaka jana december,sijawai kuwa na mwalimu,huwa nachukua lessons from internet,kwakwel nimeimprove saaaana.
Inabidi ufanye mazoezi ya angalau 15 minutes kama alivyosema babu yetu wa tangu mwaka 65! Dah Guiter natamani sana kujifunza!
 
Inabidi ufanye mazoezi ya angalau 15 minutes kama alivyosema babu yetu wa tangu mwaka 65! Dah Guiter natamani sana kujifunza!
Kama kwel unapenda,lazma uanze na kulinunua kabla ya yote.huwa nafanya zoez zaidi ya hzo 15,ndomana nimeimprove sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…