GUMZO: Al Ahly ageuka kibonde baada ya mechi na Simba

Umetoa maelezo mazuri sana lakini kwa uto bado utagonga mwamba!! Uto wanaumwa wivu kuona simba imefanikiwa kumvimbia Al Ahly!! Mioyoni mwao wanajua kabisa kuwa Simba inastahili sifa!! Nimsifu kocha wa Al Ahly kwa kutokufanya sub mapema!! Simba kufanya dsub ndo ilisabisha jam aa wasawazishe!! Kitendo cha kufanya sub kilikata stimu na momentum!! Kocha wetu alifeli hapo!!
 
Hivi kuna mahisiano gani ya akili mbovu na kuwa shabiki wa utopolo?

Msinipopoe
 
Wamekimbia UZI
Uzi haujakimbiwa, hao Al Ahly kama ni wabovu tutaona mkikutana nao club bingwa, mleta uzi kachambua vizuri, Simba kufungwa na Yanga ni matokeo tu huwezi kusema Al Ahly wabovu kisa wametoka sare na Simba kabla wewe hujakutana nao.
 
Simba ni wabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…