Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

Gumzo: Mayai ya kisasa yana manufaa kwa afya ya mtumiaji?

Spacefox

Senior Member
Joined
Aug 10, 2020
Posts
112
Reaction score
118
Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavo someka hapo juu.

Siku hizi kumekuwa na matumizi makubwa sana ya hii bidhaa.

Ila kutokana na jinsi yanavyo zalishwa nimepata kigugumizi kidogo kuhusu lishe tunayopata kutokana na matumizi ya hayo mayai.

Sasa je kuna Nutrient zozote kweli au ni ladha pekee?
 
Hayana shida Sana Ila pendelea kula vitu va asili(God made)..usitegemee serikali au MTU kuja kukushawishi upendelee kula mihogo,mayai ya kienyeji,nyama white,matunda,mboga nk
shukran
 
Back
Top Bottom