Na hayo pia kwa Sasa si salama Sana, kwa kuwa hao kuku wa kienyeji na bata wanapewa madawa ya makemikali pamoja na vyakula ili watage Sana
Hizi tuhuma umezitoa wapi ndugu, kuku wa kienyeji na Bata hayo madawa wanayatoa wapi?!Na hayo pia kwa Sasa si salama Sana, kwa kuwa hao kuku wa kienyeji na bata wanapewa madawa ya makemikali pamoja na vyakula ili watage Sana
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app