Gundu halijawahi kumuacha mtu salama

Gundu halijawahi kumuacha mtu salama

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili.

Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa
Yaani hii ni hatari, msomaji kuna wakati ninajiuliza kwani mimi niliwakosea nini kabisa mpaka dereva anifokea ndani ya uwanja.
 
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili
Kila nikipeleka vitu vyangu maskini mimi na gonga mwamba
Wenzangu ambao ni makapuku kama mimi ndo nasikia yule tayari
Mpaka kuna mda nakaa chini na jiuliza hivi chanzo cha ugomvi wangu na mapenzi ni nini kabisa
kwisha habari ngoja napita kushoto
 
Komaa kwenye ishu zingine achana na mapenzi.Kama upo kijijini nenda shambani ukapande mimea.
 
Kwa wakati ambao nimefikia naona ni bora ni jaribu pia upande wa pili kutafuta kizizi na mimi maana sio kwa gundu hili
Mimi wa kukataliwa na shetani kabisa
Yaani hii ni atari pumbavu zako msomaji kuna wakati ninajiuliza kwani mimi niliwakosea nini kabisa mpaka dereva anifokea ndani ya uwanja
Tafuta mume uolewe.Kwa nini unasumbua watu?
 
Jamaa anadai eti Hana bahati kwenye suala Zima la Mapenzi,anahisi gundu( nuksi) zimemuandama kwani wenzie kila wanapojaribu Mambo yanajipa.Mshauri kitu.
kwisha lazima aishe suluhisho abadili hii username name yake ya Kwisha, case closed 🔐
Neeeeeext👀
 
Back
Top Bottom