Gunia la debe ngapi? Mimi nafahamu debe moja la mpunga hutoa kilo 8 hadi 9 kutegemea na aina ya mpunga.
Ni kati ya kilo 54-60 kgs!
Hii sasa ni kali, tuache kutaja tu 'gunia' tuseme gunia lenye kilo kadhaa au lenye debe kadhaa hapo tutaongea lugha moja, mimi niliko mpunga gunia ni debe 7 na mahindi ukisema gunia unamaanisha debe sita!