Gurdiola EPL imeshamshinda, muda si mrefu atafukuzwa

Kumbka Chelsea akikaa pale Juu kumtoa Mpaka Ligi ianze upya Kwahiyo mashabik wote lazima wachukie Kwan walitegemea city Ndoa anaweza kumfukuzia Chelsea
 
Ubaya wa epl timu ambazo hazipewi nafasi ya ubingwa zinawakamia big 4 hatari,so zinapocheza ni ngumu kutabiri nani atashnda.
 
Hata Chelsea atapigwa na everton akiwafata kwao
MkuuThe Boss usifananishe matukio kirahisi hvo, maana ungeanza kueleza kwann Lesta alimpga man cty 4 na jana kakutana na chelsea kapigwa 3 kavu . . .
Evaton ni wepesi sana kwa Chelsea kama Lesta kama unabisha subiri utanambia.

Kwa taarifa yako mechi tata kwa Chelsea hapo mbeleni ni man city na liva pekee , hapo nakubali kuweka 50-50
Ila wengine wote waliobaki ni mserereko hadi king. . .
Mind U. . . KIWANGI CHA THE BLUZZZ NI MOTO WA KUOTEA MBALI

Fuatilia mpira na uchambuzi utalitambua hili. .
 
Guardiola sio mbovu
ni kwamba ni mbishi tu

Style yake ya kucheza haiendani na mabeki wake kina Sagna..
Mabeki wake wote wako above 30 na ni wabovu

Atasajili beki January utashangaa
Stones hajafikisha miaka hiyo
 
Guardiola lazima aendane na EPL. Mbinu zake za Spain na Bayern huenda zilifanya kazi kulingana na wachezaji aliokuwa nao huko. Sasa EPL na aina ya wachezaji alionao, anahitaji kubadilika.

Moja ya makosa makubwa aliyofanya na bila shaka anajuta kimya kimya ni kumtema Joe Hart. Kipa aliyemleta si aina ya wachezaji wa EPL ama hamna mabeki wa kumfaa.

Mafanikio ya Conte wa Chelsea yametokana na kubadili filosofia yake ili kuendana na wachezaji alionao na mfumo mzima wa EPL.
 
Mi nilishajikatia tamaa na Man City ya Pep, tumekuwa watu wa kupigwa nne nne kila siku. haijwahi kutokea tangu timu hii ichukuliwe na waarabu.

Pep katuharibia timu bora aondoke
 
mambo yameendelea kuwa magumu kwa man city wamechomolewa magoli yote mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…