Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

Ccm tuna jidharirisha...

Hivi kile kipengele chao bado kipo, ukipeleka kesi mahakamani na uanachama wako Kwisha, kile kilicho mtoa zitto
Kama kipo kipengele kama hicho inaonesha chama ni cha kidikteta
 
Comrade, tukukumbushe na haya mengine hapa chini uliyaandika mwenyewe... Mdee kaangukia pua mbele ya Mnyika pamoja na mikwara yako yote!

JOHN MNYIKA AMEMNTANTALIZE TUNDU LISSU. Leo 22:05 hrs 25/11/2020 Nianze kwa kusema kuwa Tundu Lissu siyo mwanasiasa makini bali ni mwanaharakati mropokaji tu!
Chadema hawawezi kamwe kuendelea na mtu kama Tundu Lissu,huwezi kuwa unatoa matamko yako binafsi halafu unataka yawe ndo msimamo wa Chadema!?
Chadema inabidi ing'olewe kutoka kwenye makucha ya viongozi wenye tamaa na wasio na maono kama Tundu Lissu na John Mnyika na kuiwekewa kwenye mikono ya wananchi kama taasisi.
Mh. Aida Khenani Mbunge wa Nkasi, ameonyesha ukomavu wa kisiasa kuliko uongozi mzima wa Chadema ukiongozwa na John Mnyika. John Mnyika chukua Madini haya,HALIMA J MDEE ni inner circle ya Chadema "asili' leo hii ndio Afukuzwe?!!!
Salum Mwalimu where are you? au kwa sababu kigogo kawataja mna wakeze😀 mmetulia tu mnasubiri upepo hadi Mwenyekiti Mbowe aongee😀
 
Mkuu ni kuulize swali. Mdee alisema wamepata baraka zote za kamati kuu kuwa viti maalumu lakinu alipoitwa aelezee hizo baraka kazipata lini na wapi akaingia mitini.
Nasema hivi hata wakienda mahakamani hawawezi shinda kosa la kughushi nyaraka ni kosa kubwa sana
 
Haya makupe ya fisiemu ukiona yanajikomba kwa mpinzani ujue yananufaika nae huyo wamesha mnunua ni mwenzao njaa hizi huvua utu wa MTU
 
Wewe hata hiyo shule sijui ulisomaje mkuu umeandika pumba tupa
 
Hahahahahahahahaha!
 
Umeongea ukweli tupu. Utawala (Administration) ni taaluma/ profession kama taaluma nyingine hususani udaktari, uhandisi na uhasibu. Huwezi ukaendesha tasisi kubwa kama chadema bila kuwa na kurugenzi ya utawala yenye watalamu wazuri wa utawala. Ukitegemea Katibu Mkuu au Mwenyekiti wa tasisi kubwa kama chadema ndiyo wawe wahandisi, wahasibu, madaktari au watawala utashuhudia madudu kama haya yanayotokea.
 
Kweli siasa ni unafiki wa hali ya juu sana Leo hii mnazungumzia katiba wakati dereva wa kijani ndo wa kwanza kuikanyaga tena sio ya chama ya nchi? Naomba tuletee kikao chenu mlichokaa na membe mpaka mkamfukuza uanachama
 
Yani jambo dogo kama lile wamelifanya kubwa .akili ndogo sana chadema kwa kweli.

It was very simple bila kuhamaki vile.Mnyika ameprove kuwa na akili ndogo sana kuweza kuhimili changamoto.

Jamani pale ilitakiwa kuwaita ofisini na kuwauliza ndugu zetu imekuwaje mkaenda kuapishwa wakati sisi hatujui? Lakini wamehukumiwa kama majambazi.to be honest chadema imeonyesha kuwa ni chama kichanga sana kuweza kushika Dola.ni chama cha kikatili mno kiasi cha kutokuwa na huruma hata kwa wanawake.SIjawahi kuona maamzi yenye busara ndani ya chadema .vichwa vyao havina tofauti na makuhani waliyompeleka Yesu kwa pilato na kutaka asulubiwe bila ya kuwa na kosa.

Mtu amesema kuwa wanamshukuru sana mwenyekiti.hahahaaaaa.chadema mnatishiwa na mwanamke kiasi cha kumuona katili? Hivi mnaweza lipi kwa mfano? Mnasema eti JPM ameharibu mahusiano kimataifa .Vipi nyie hata mahusiano ya ndani mwenu yamewashinda? Conflict solution hamjui kabisa.internal conflict solution hamjui.External conflict ndiyo hamuwezi kabisa.Mtaipeleka nchi katika vita
 
Mbona lowasa mlimfanyia mambo ya ajabu na kumpatia nafasi ya kupeperusha bendera ya urais.

Mbowe alisema katika siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu.
Yapi hayo mambo ya ajabu?
 
Wameteuliwa na chama na kuidhinishwa na chombo chenye mamlaka? Aingiaye kwa njia haramu na kiyume cha sheria ana haki ya kulindwa na sheria aliyoivunja? Mataga utawajua tu kwa hoja dhaifu wanazotoa.Tafuteni mbinu nyingine hiyo imebuma!
 
MaCCM akili zao azinaga akili kabisa,
Leo Halima Mdee ndio kawa tegemeo la Magufuli kuiua CHADEMA, kweli?!
MaCCM yote yanamjaza ujinga Halima Mdee, lakini ya nasahau kuwa chadema sio CUF.
Kamati kuu CHADEMA imewapa nafasi na mda waende wakakatae hukumu.
Sasa Wakienda mahakani si ndio wanajifukuza hivyo.
 
Kamati kuu ya chama haikuwapendekeza. Katibu mkuu hakuhusika. Hawakujaza fomu husika. Hawakuapa. Umeandika meeengi lakini kiini cha tatizo hukukisema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…