Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

Hivi we mwehu yaani waende CCM wasiogope walikopigwa , kutenguliwa kiuno na kuvunjwa mkono , waogope kwenda Chadema ambako hawakuwahi kupigwa hata kofi ? Kati ya Mbowe na Jiwe nani dikteta ? Hujui maana yake? Acha assupmtion dogo ishi katika uhalisia .
 
Hata kama utasomea Masters ya Presidency huwezi kuwa Rais ni kama ambavyo umesoma Shahada ya Utawala na Uzamili juu ya Uongozi HAIKUFANYI kuwa mchambuzi mzuri!


Ni upuuzi tu ulioandika ili uonekane na kuitwa pale Lumumba!
Kwake yeye kaona bonge ya msomi hajui kuwa akili na usomi ni vitu tofauti.
 
Msaka tonge buku 7 kwa siku. Maisha c ndio haya
 
Kesho nitakuona St Joseph Cathedral ?
 
Eti na wewe mmoja kati ya waliohudhuria kikuu na kuhitimu. Unasifia ujinga waliofanya ccm wakishilikiana na wachumia tumbo kina halima
Kwani nini maana ya democracy boss?
 
Unafiki ni sifa ila sio sifa nzuri, unaweza kuamini kwamba kijani wana uchungu sana kwa mdee na kundi lake kuvuliwa uanachama lakini ukweli ni kwamba suala lenyewe kwa ujumla kijani wanalijua na nimkakati endelevu ulioasisiwa na m/kiti wao dhidi ya upinzani nchini, hili la makada wa kijani kuja na uchambuzi ama ushahuri wa ajabu ajabu ni moja ya unafiki ili ionekane kwamba wameonewa ili kesho na keshokutwa wawape kadi za kijani kwa sherehe kubwa.
Guru la sheria linakubali kwamba Mdee na kundi lake waliteuliwa lakini guru halija toa ushahidi wa nani aliye wateua na nani aliye wapa fomu za uteuzi wao. Badala yake guru la sheria limejikita sana kwenye chuki dhidi ya Mbowe, kujimwambafay kwa elimu na propaganda zisizo na faida kwa taifa.
 
Simply Stupid
 
Mavi ya bata
 
Halima & Cos kuendelea na ubunge hadi 2025, chadema wakurupukaji hadi inauma.
Mtasubiri Sana Hilo litokee lakini mtashindwa na kuzidi kujiaibisha! Ni Bora mkubaliane na matokeo ya Jana angalau mheshimike kidogo kuliko kuendelea kupambana na chama ambacho mmekikosea Sana!
Usaliti Sasa basi!
 
Ni hiyo buku Saba inakutesa hivi kwa kuandika insha ndefu Kama za unaandika kitabu Cha hadithi au kitaa kumebana so, unasaka kaajira?
Hebu kuwa wa level ya elimu unayoinadi hapo Basi angalau upewe kaheshima!
Kwa ufupi Sana sijaiona hoja ya maana na fikirishi! Summarize Basi eeh!
Halima unayemtetea na kumsifia hajawahi kusimamia kesi yoyote mahakamani na hajawahi kujisimamia mwenyewe kwa kesi zake zaidi ya kumtumia Kibatala! Jishangae Sasa.
 
Hivi Chadema watamwandikia barua spika kumtaarifu kuwavua uanachama hao wabunge 19? Au itakuwa ni taarifa za kwenye news conference tu?!
Wakiandika au wasipoandika, legal consequences zake zitakuwaje?
 
Mkuu hiyo title ya publication yako iko sawa in terms of grammar ? Ni assessment on au assessment of? Besides, ingependeza zaidi ingekuwa tu "effects of micro-financing on poverty reduction"
 
Former speaker amakata Shauri wao siyo wabunge tena! Sasa kwa kuwa wenye nchi hawafuati sheria watalazimisha ila kwa international observers wataonekana kama wasanii tu!
 
Kama kipo kipengele kama hicho inaonesha chama ni cha kidikteta
Kama ni cha kidikteta na MNA elewa, sasa kwann MNA king'ang'ania?? Tengenezeni vyenu na muwe na hatimiliki navyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…