Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

Nmesoma between the lines"nimewaaza elimu ya mtu na utumbo aliondika nikamkmbka Mgombea mmoja aliesema!!"elimu elimu elimu".kama msomi wa mastaaz anaandika Aya ndefu mbofumbofu kama hizi. Je masters ni masters ya kumaster ujinga ama???

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ndo umeandika Nini sasa,huko shule ulienda somea ujinga kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umechambua vizuri sana, hiki kikundi kinavyopotea na sawa na NCCR au CUF ilivyopotea. Ila wao hawawezi kuliona kwa sababu sikio la kufa na kwa sababu ni mashetani
Mkuu Tatizo sio chama Cha upinzani.... Tatizo ni chama tawala....
Wengi waliopigia kura CHADEMA sio kwamba wanakipenda chama hicho Bali wanachukia mambo mawili matatu ya CCM
Tatizo tunatumia nguvu nyingi kuvunja vyama kuliko kujenga chama chetu
Watu tuliosoma SIASA Enzi za Mwalimu tunaliona hili jambo.......... na ukweli usiopingika kwa sasa Hivi watu wameichukia CCM na uongozi wake kuliko wakati wowote ule
Tumejitutumua kwa Hali na Mali na ulaghai mkubwa kuondoa upinzani bungeni.. Sasa tunatumia misuli na gharama kubwa zaidi kurudisha upinzani bungeni

Siasa ni sayansi sio ubabe wa kutumia dola......
 
GURU LA SHERIA Lumumba mnapata tabu sana kipindi hiki.Msekwa kasiliba kila tundu kana sasa mnabwelambwela
 
Ndio maana cdm walishindwa uchaguzi kwa sababu ni chama ambacho akina uwezo wa kusimamia misingi ya haki tofauti na kinavo jinasibu.
 
Umesema "nguli wa sheria"? Hata kwenye list ya mawakili hajulikani![emoji16][emoji16]
 
Hii elimu nina mashaka nayo ndiyo maana bado nakuwa mzito kuendelea mbele sana kuongeza madarasa na miaka ya kusoma. Wewe unayejiita mtaalamu wa sijui administration mbona maelezo yako yanajikanyaga kanyaga sana? Moja umemuita Mdee ni guru wa sheria na jasiri iweje ashindwa kufika KK kwa visingizio dhaifu sana

(i) hofu ya kufanyiwa vurugu na wanachama au wafuasi wa Chadema wakati huo huo unamuita jasiri hiyo hofu ni ya nini kama anajua hana hatia na alichokifanya? Hata baada ya kuhakikishiwa usalama wao ikiwa ni pamoja na kubadilishiwa eneo la kikao?

(ii) umemuita kuwa ni guru wa sheria ina maana kesi yake anaijua vizuri na anajua namna ya kujitetea iweje kuhitaji muda zaidi wa siku tano wakati yeye ni mwanasheria guru ambaye tunajua kabisa kabla ya kufanya aliyoyafanya lazima alijipima na kuona anaweza na mbinu za kujinasua ambapo angekwama. Lakini ujiulize kwanini wote 19 watoe sababu zinazofanana kama hawakuwa na nia ovyo kwa KK?

(iii) Hivi wewe mtaalamu umeshindwa kabisa kuyaona mapungufu ya kisheria katika mchakato mzima wa kupatikana hao wabunge viti maalum 19 mpaka kuapishwa kwao ila ukaona makosa ya chama kuwavua uanachama? Napata mashaka na elimu yako ama sivyo umeamua kuitumia vibaya kwa kulazimisha kujenga hoja kwa upande mmoja wenye makosa ili kuulinda na mwishowe kushusha thamani ya elimu yako.
 
wewe umelewa mahaba ya dhati. mbona unajitia ugumu kuelewa mtu anaposema anahofia usalama wake? mbona kuna watu walie da sehem kwa kusema wanahofia uslama wao..nawaunga mkkono kama mtu alihofia uslama wake lazima asiende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuwa jiwe aliwadanganya anakosa connection akiwa na wabunge 290+ kwa wapinzani 100+ hamkuhoji principle,basi mtabaki wajinga sana mnaposhangilia bunge la kijani linalotumika kuapisha wanawake weupe kwenye garage bila kuhoji kwanini mabetri yachanganywe na magunzi baada ya kubugi meeh,Halima shujaa wako deal limebuma na hiyo mahakama hajazuiwa akipenda na anakaribishwa Baraza kuu.
 
Muulize Lowassa kama alipewa nafasi ya kujieleza na kamati ya Richmond!
Na UP alinyang'anywa mpaka leo!
Halafuu, mwenyekiti wenu wa ccm si alisema wapinzani wamemkwamisha sana kwenye shughuli za maendeleo? Mnawapigania wa nini sasa wapinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…