Guru la Sheria (Halima Mdee) ameishinda Kamati Kuu ya CHADEMA

Kama huna ajira nikuajir mkuu aah ningekua na emoj ningekuwekea hapa
 
Kmmke [emoji23][emoji23][emoji23] yani leo Halima kawa guru la sheria [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kama mwenyekiti wako tu, umetujia na videfinition vya kukariri tu halafu unajiita mbobezi! Labda mbobezi wa elimu ya mahusiano ya mataahira ya hapo Lumumba!
 
Haya yote yanatokea kwasababu kuna binadamu kwasababu ya maamuzi yao wameamua kuchezea box la kura na uchaguzi.Uchaguzi ungeheshimiwa huu ujinga wote usingekuwepo.Sasa wewe kama msomi badala kutumia kichwa chako kwa mambo mbovu mbovu kama haya unayojua chanzo chake hebu jikite kukemea waliosababisha haya yakajitokeza.Ukifanya hivyo utakua umeitumia vizuri elimu yako badala ya ulivyoitumia sasa kupiga porojo zisizo na maana kwa taifa.
 
Umeandika nini we kima
 
Chadema ni imani. Chama kipo kwenye mioyo ya watu. Chadema imevuka hatua zote za kuuwawa na wafilisti wenye mamlaka. Viongozi watafungwa, wanachama watafungwa na kupotezwa. Lakini chama kitasimama imara. Chadema imevuka vikwazo vyote vigumu. Chadema ni mabadilko na uhuru wa kweli

Ndugai mmoja ni sawa na headless chicken
 
Wakaanzishe chama chao kama alivyofanya Kabwe
 
dah!!!! umesahau email address mkuu. Sasa Mkuu wangu elewa kuwa hasa kwa dunia ya leo na kesho ukisoma si lazima uajiriwe serikali au siasani. Tumia elimu uliyopata ufungue hata consultancy firm mkuu. nyakati za kusoma kwa ajili ya white color job umeshapitwa na wakati. na hata vijana mjikombe vip ukweli ni kuwa hakuna nafasi za kuwaajiri wote.

Baada ya kusema hayo nikujulishe tu kuwa mkuu mchezo huu umekaa vibaya kwa ssm kwa kila namna. hata ikifanyika hiyo illigal manipulation kupitia vyombo halali vya utoaji haki vilivyonajisiwa na kina mdee wakaendelea kuwa wabunge bado hakuna hasara yoyote kwa cdm bali faida kwan itadhibitisha tena nguvu kubwa inayotumika kutafuta uhalali wa uchaguzi batili na hii ndiyo msingi wa claims zao cdm kuwa uchaguzi ulikuwa batili. cdm haina hasara na kina mdee kupewa illigal chance ya kupiga hela za serikali bali nchi ndiyo inayoumia kwa rasilimali zake kutumika kisiasa badala ya kutumika kuleta maendeleo. Point ya muhimu hapa kwa cdm ni kuangalia ni kwa kiasi na jinsi gani kina mdee kupewa ubunge illigally kunahalalisha kilio chao cha uchaguzi batili mbele ya jamii ya kitaifa na kimataifa.
 
Soma katiba ya chama vizur hata Zito alisemaga hivo ila hakutoboa. Sheria za chama zinasema mwanachama atakae enda mahakamani moja kwa moja atakua amejifuta uanachama
 
ukivumiliana wewe na mke inatosha
 
Halima & Cos kuendelea na ubunge hadi 2025, chadema wakurupukaji hadi inauma.
itasaidiaje kuharamisha madai halali ya cdm na wananchi kuwa uchaguzi ulikuwa batili na kuwa kuna ulazima wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?!! huoni kuwa mnapolazimisha kuendelea kuvunja katiba na sheria za nchi ndivyo mnavyozidi kuhalalisha madai ya wananchi wakiongozwa na upinzani?!! siyo kila siku ni ijumaa..kwa hapa mku utakuwa ni kama unajipiga mwenyewe halafu unakinusa mwenyewe halafu tena unalalamika mwenyewe eti kinanuka!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…