mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ndoa ni taasisikama serikali.
Mwanaume kazi yako kulipabills tamka kodi,mwanamke kazi yake kula kodi,
Mwanamke hakupendi bure anatafuta security au kukula hela zako.
Mke sio rafiki bali ni beberu mla kodi zako ,j
Rafiki wa kweli ni njaa tu,ukiwa huna hela ndio anazidisha kuwa karibu na wewe,bora uwekeze kutafuta hela ili njaa nae apate muda wa kufanya mambo mengine badala ya kukung'ang'ania