Guys; Don't take girls too serious...


Aisee usemayo ni ukweli mtupu tena sana. Wanaume wajanjawajanja ndiyo wamegaji wakubwa wa mabinti tena mabinti wa haja usioweza hata kufikiria.
 
Hivi hawa watoto wa dot com ch*pi mkononi kuna haja ya hizi stori ndefu kweli. Leo mi ukiniambia mtu haoni ndani eti sababu anamuonea aibu demu(sorry D na wengine) wake nitashangaa sana. Kwanza siku hizi totoz zinakuimbisha wewe.

Totozi hizo safi zinamake life cheap. Si unajua ukijifanya true boy itakucost time...babaa.,matokeo yake roho yako inakuwa chumba cha mtihani.
 
Thanx somo zuri nafikiri wahusika watalitilia manani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…