Guys nimepata mtoto wa ....

congrats ngomanzito. Thank God umetoka salama, maana labor ni nusu kifo.
 
congrats kwa baby boy, Mungu amjalie afya njema.
 
moja ya watu ninaowakumbuka sana kwa kuja na jinsia mbili, hahaaaaa!!! matata kweli kweli!!!

ila mpongezeni ki-HE au ki-SHE!!
BTW FL1 ukipeleka gift pitia na yangu plz!!!

ila hakutwambia tumfanyie baby shower
 

'Mjukuu wa nyoka ni nyoka tu😀'

Hongera sana!
 
ila hakutwambia tumfanyie baby shower

si ndo hapo sasa tena ndo ulikuwa muda mwafaka wa kumyeshea mizawadi kibao ya mtoto.

anyway Ngomanzito toa lokesheni sisi tumwagie bebi boi mizawadi
 

Hongera Ngoma nzito kupata mtoto ni jambo muhimu sana katika maisha ya mwanaadamu.

Ushauri wangu fuata maneno aliyosema Paka Jimmy hapo juu ni ukweli mtupu!!
 
Hongera sana Ngomanzito.

Mungu akukuzie na akupe maisha marefu uwaone wajukuu zako.

Annina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…