J JeffHarry Jr Member Joined Apr 14, 2013 Posts 17 Reaction score 2 Sep 7, 2013 #1 Jamani eeeeh naona awa jamaa wanaweka watu roho juu; Anayejua kuhusu matokeo ya Ministry of Health and Social Welfare ebu anisaidie info alizonazo.!!!:help::help::help:
Jamani eeeeh naona awa jamaa wanaweka watu roho juu; Anayejua kuhusu matokeo ya Ministry of Health and Social Welfare ebu anisaidie info alizonazo.!!!:help::help::help:
M Maubero JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 1,529 Reaction score 483 Sep 7, 2013 #2 selection bado
J JeffHarry Jr Member Joined Apr 14, 2013 Posts 17 Reaction score 2 Sep 7, 2013 Thread starter #3 Kuna jamaa ckanitxt bhana eti ananiambia wametoa!!! Poa zikitoka tush2ane!!!
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Sep 7, 2013 #4 Matokeo next week yanatoka.
J JeffHarry Jr Member Joined Apr 14, 2013 Posts 17 Reaction score 2 Sep 7, 2013 Thread starter #5 Pouwa!!! Ngoja tusubir tushachoka kukaa om!!
0 0767854945 Member Joined Jul 5, 2013 Posts 74 Reaction score 2 Sep 8, 2013 #6 Next week ndiyo hiyo inafika ngoja tuone
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Sep 8, 2013 #8 Kuna tetesi kua vyuo vitaanza mwezi wa kumi na moja hapo vuta picha kwanza.