Gwair - Singida Dodoma (Lyrics)

Gwair - Singida Dodoma (Lyrics)

Kindoemmanuel

Member
Joined
Dec 5, 2021
Posts
9
Reaction score
12
Singida, Dodoma...
Man, I wish ungemuona, anavyojitingisha
Jinsi nyuma alivyoshona
Yeah! Singida, Dodoma...
Yeah, mtoto amenona na anavyotetemesha
Zaidi hata tranformer/ X2

(Verse 1)

Yo! Kwa jina ni Irene, huyu bonge la queen
Mtoto wa ku'shine kwenye cover za magazine
Age yake ni kama twenty, No! Ninenteen
Yes! You can tell from the pretty face

Ana Figure ya kibantu, mtoto balaa
Jinsi alivyojaa jaa, anavyong'aa ng'aa
Ana rangi ya pekee na anajua kuvaa
Maswali mengi najiuliza juu ya huyu mamaa

Kama: Wapi amepata hili bonge la smile (man)
(She got it from her mommy)...Yeah, like juvenile
Ila, mi nadata na hizo two big tings
Vipi inaweza penya ndani ya hiyo G String
Chini na hiyo bra, na hiyo tight blue jeans

Nitakupa hata nyumba nipangishe please
Sitalipa kodi ya mwaka, bali kodi ya maisha
Nadhani ushanifahamu nini ninamaanisha
(No)....
Nataka kukuoa
(True?)....
Yeah, you! Uko juu baby boo
Unavyo TO...... mi ro'o ro'o juu
Ila zaidi unavyo walk ndo balaa tu

-REPEAT CHORUS-

(Verse 2
Yoh, Anha!
Akiwa anaenda, utadhani ndo anarudi
Man, huyu mtoto sometimes ana makusudi
Yaani, tukiongozana napenda akitangulia
Kuna movie kachaa huwa sichoki kuiangalia
*******
RIP NGWAIR
 
Back
Top Bottom