Ok9 JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,549 Reaction score 4,133 Sep 2, 2022 #1 Kipindi korona inaanza kuingia Tanzania. Mchungaji Gwajima alionya sana ujio wa 5g kwamba ndio unaoleta hii virus. Sasa leo voda wamezindua. Jeee? Amesema chochote tena?
Kipindi korona inaanza kuingia Tanzania. Mchungaji Gwajima alionya sana ujio wa 5g kwamba ndio unaoleta hii virus. Sasa leo voda wamezindua. Jeee? Amesema chochote tena?
SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Sep 2, 2022 #2 Tunasubiri Jumapili tusikie akiamsha dude...