Gwajima amcharukia Diamond

Alafu bado kuna misukule yake inamtetea
 
Kama ni yeye kweli kaandika hivyo,Mungu awasaidie waumini wake kuijua kweli itawaweka huru
Ibada wakat mwingine inageukaga kuwa Mipasho. na Makanisa kugeuka kuwa ukumb wa Burudan. [emoji2] [emoji2] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
 

Yaani wewe unataka utajiri kama wa Gwajima!!naona uko karibu kuolewa sasa!!!
 
Wewe ndiye Baba Udaku,Kama ni wafuasi yeye anao wa kutosha na wewe unaendelea kuisoma namba kama kawaida mpaka ukome!!
Haya mama udaku nitakuja nami nijiunge hapo sijui jumapili ijayo kutakuwa na kiki ipi tujae.
 
Kwa hyo gwajima ameolewa ndo kapata huo utajiri[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,unajua kabla hujacomment soma kwanza kilichoandikwa kwa umakini ili ujue nn kinamanishwa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app

Kama na wewe unautaka utajiri kama wa Gwajima waweza kuolewa maana mna uroho wa utajiri kitu kitachopelekea muolewe!!!!
 
Kama na wewe unautaka utajiri kama wa Gwajima waweza kuolewa maana mna uroho wa utajiri kitu kitachopelekea muolewe!!!!
Tusiojua kutukana huwa hutuna maneno mengi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,usipende kutumia lugha ya hovyo ili upate wa kubishana nae,it's better ukafanya mambo mengine

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…