Gwajima amcharukia Diamond

Bora gwajima sio mnafiki kuliko makanisa ya kama roman yamekaa kimya yanaona uozo unaendelea nchi yanakaa kimya

Kuna wanaotumia busara na kuna wanaotumia kiki ili wapate watu wa kuwasikiliza nao wapate misukule ya kutosha kama haka kajamaa.
 
Kuna wanaotumia busara na kuna wanaotumia kiki ili wapate watu wa kuwasikiliza nao wapate misukule ya kutosha kama haka kajamaa.
Ogopa sana watu wanaokaa kimya wanajifanya wanabusara. Jaribu kutafuta siri ya kanisa katoliki kwenye serikali zote duniani utajua masilahi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…