Kelele ni za nini huko you tube, fanyeni tuone acheni vitisho. Hizo kelele za huyooo huyooo huyooo huyooo mchinjeee mchinjeee zilikuwepo tangu Nyerere hadi JPM na Sasa Samia. Kama mnaweza si mpimane nguvu na CCM kimyakimyaa? Kelele mitandaoni ni zanini? Tutawasambaratisha vKavulata isije kuwa wewe na genge lenu la akina Chiembe,Tlaltaaah na washirika wenu ndio mliokata pumzi tu?
Kwamba wanatekwa Wasukuma?Gwajima, Mpina na Polepole wote wanazo sifa zinazorandana. Wote ni wasukuma/wanyamwezi, ni waskristo na walipewa vyeo vikubwa na JPM (msukuma).
Wanachosahau ni kitu kimoja kuwa ndani ya CCM na serikali wapo wasukuma na waskristo wengine wengi sana bado. Hivyo, kama ukimkata Mpina kugombea kisesa yuko msukuma mwingine atagombea kisesa. Kama kanisa la Gwajima limefungiwa Yako makanisa mengine Yako wazi hayajafungiwa.
Akili za Gwajima ni kwamba kinachompata yeye kinawahusu wasukuma wote, waskristo wote na wanaCCM wote. Hivyo woote hawa watamuunga mkono yeye kwenye ugomvi wake na Samia.
Akili za kipuuzi kama hizí alikuwa nazo Gashagwa (mkikiyu) aliyekuwa naibu Rais wa Kenya aliyeondolewa kwa upuuzi wake wa kikabila. Rais Ruto alimteua mkikiyu mwingine kuchukua nafasi ya Gashagwa. Hivyo wakikuyu wachache tu wakamuunga mkono Gashagwa na wengi wakamuunga mkono naibu Rais mpya ambae ni mtoto wao pia.
Gwajima anahesabu idadi ya wasukama na idadi ya waskristo nchini na kudhani kuwa wooote wataungana nae kwenye ujinga wake na kusahau kuwa wapo wasukuma na waskristo wengine kama Biteko, Kasheku Msukuma na wengine wengi bado wanagombea na wako serikalini na ndani ya CCM. Eti Leo hii kanisa la katoliki na kanisa lake la uzima na ufufuo ni kitu kilekile tu. Anasahau kuwa watu wanakumbuka namna alivyomshambulia Kadinali Pengo.
Wanatapatapa, amekata punzi.
Kosa lake kubwa ni kufanya uchochezi kanisani na kuwatumia waumini kama ngao yake. Pili, Anasema mambo ambayo yeye kama mbunge na mnec wa CCM angeweza kujasema bungeni au kwenye vikao vya CCM, tatu huyu jamaa anachanganya siasa kwenye ibada.Unafiki kwa kwenda mbele, kama kuna mtu makini atuambie ni kosa lipi alilotenda Gwajiboy mpaka afungiwe makanisa, Let us be serious na tuache ushabiki maandazi.
Mnakera , sijui ni njaa, sijui ni ujinga. Gwaji boy amefanya kosa gani au amevunja sheria gani ya nchi,
Tuache kubwabwaja
Ili uweze kunipa sumu mimi kavulata itakuwa rahisi kama utamtumia mwanangu judith kavulata au mtu wangu wa karibu. Unapoona mtu katekwa ni ama ni mhalifu au anasaidia uhalifu kutimia. Yaani mgoni au mshenga wake.Kwamba wanatekwa Wasukuma?
Gwajima na Polepole wako kwenye kambi moja na wanazungunza kilekile kwa lugha tofauti. Wote hawa wanae mgombea wao mmoja ambae walitaka awe Rais baada ya JPM kufariki na 2025 kupitia CCM, baada ya zoezi lao hilo kuelekea kugonga mwamba chaguo lao lingine lilikuwa kuhamishia nguvu zao zote chadema ya Lissu. Kelele zote hizi za Polepole, Gwajima, Kitimo, na yule Mchungaji Dr. Malisa ni reaction ya mazoezi yao yote 2 kukwamishwa na CCM. Yaani wamewekwa mtu kati kama nyoka aliyekatwa kichwa lakini bado anatembea kwa muda kwa kujizoazoa hadi pale atakapokata roho kaaabisa.Gwajima kweli yupo katika Hali ngumu ila huyu Polepole nahisi ni kama muigizaji tu aliyetumwa na ccm wenyewe
Mtakuja kujua Baada ya uchaguzi atarudishiwa vyote alivyonyanganywa
Kete ya mwisho ya Polepole ni kuweka hadhari eti walivyomuibia JPM kura hadi akashinda uchaguzi, anajidhalilisha. Sijui kama Samia atazihitaji mbinu za kishenzi kama hizo kuiba kura.Gwajima kweli yupo katika Hali ngumu ila huyu Polepole nahisi ni kama muigizaji tu aliyetumwa na ccm wenyewe
Mtakuja kujua Baada ya uchaguzi atarudishiwa vyote alivyonyanganywa
Hawa watu wote wamepuuza anachosema GwajimaKavulata isije kuwa wewe na genge lenu la akina Chiembe,Tlaltaaah na washirika wenu ndio mliokata pumzi tu?