GWAJIMA atimba mjengoni anawasikiliza

Inasikitisha sana tena sana kwa Baba kama huyu na heshima yake kuongea vile kiukweli inakatisha tamaa na kuamsha roho ya mapambano dhidi ya tabaka la walamba asali huyu bwana ni wazi kuna kitu ananufaika sio bure
 
We kwl ni zuzu, eti wameufyata, nani wa kumwoga huyo tapeli, acheni ushabiki wa kidwanzi
Ushabiki wa kidwanzi unauleta wewe hapo na tamaa zako zinazokupwita mtu kusema ukweli kwako wewe ni makosa sio?Gwajima amekosea nini jibu vitu kwa hoja sio unakurupuka tu kama kasongo
 
Ndio wameambiwa wamtenge 😂😂
 
Mungu awe nawe Dk.Gwajima bishop mkuu w ufufuo n uzima peleka moto tu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Huku ndio alipaswa aongee sio kukaa kimya wananchi walikutuka uende ukawasemee ndani ya bunge sio kutafuta umaarufu nje ya bunge
Unafikiri hili bunge la vilaza lingempa muda wa kuongea ukweli aliouongea ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…