Uchaguzi 2020 Gwajima awa gumzo kwenye mitaa ya Kawe

hayo ni maoni yako tu mzee..usitake kutushika akili.kila mtu ana macho na ana uwezo wake binafsi wa kufikiria.asante
 
Afike na hapa Mbweni Teta aangalie maji yanavowatesa wazee wetu wastaafu aone atakavotatua maana huyo alikuwepo hata hajawahi ona umuhimu wa kutatua hiyo kero japo ni jirani kabisa na makazi yake. Gwajima for Kawe 2020-2025
 
Ushaandaa suti ?
 
Uzuri wanaompinga humu wengi hawaishi kawe
Hawana effect yoyote zaidi ya matusi yasiyo na tija

Mtu tunampima kwa hoja Sio kwa mtazamo wako tu
 
Misikiti yetu itakuwa makanisa


Hatukubali kutuletea udini
 
Gwajima ni bwege tu! Hana lolote na hajitambui. Siasa haiwezi.
Eti anatatua kero za kawe, kwa note book huo nao ni utapeli kama wa kufufua mtu wakati mamako alikufa ukamzika.
 
Tunaomba utaratibu wa safari ya Marikani wengine tumesha kata paspoti tayari kwa safari
 
Siku zote alikua wapi, naona una hamu ya kupigwa unooo,!
 
Bishop. Gwajima, ndiye mtu sahihi kwa kawe mpya.
 
Pasipo kusahau kwamba waislamu wa kawe wawe tayari miskiti yao kugeuzwa sunday school maana atapeleka hilo pendekezo bungeni akiungana na Lukuvee... lakini pia wakatoliki wa kawe nao hawatabaki salama kama ambavyo hakubaki salama kiongozi wao...
Kwamba mbunge anamamlaka yakubadili nyumba Za ibada kwa matumizi Mengine?
Watanzania runawaza kipropaganda Sana.
Huwa tunaongea vitu ambavyo unaona kabisa ni story Za kiuchaguzi zisizo na maana.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Unadhani kwanini anautaka ubunge kwa kucha na magego?
Au hujui miongoni mwa kazi za mbunge na bunge ni kujadili na kupitisha sheria?
Je kwanini kazi aliyosema hawezi ifanya kwa maana ni ya daraja la chini kuliko uaskofu wake kwanini aitake sasa?
Nitashukuru kwa majibu ya maswali hayo toka kwako ili tuone mwenye propaganda ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…