Gwajima hapa ulionesha ubaguzi wa kiimani. Usitegemee hawa unaowasema wakupe kura Kawe

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
988
Sitaongeza chochote video inajisema.

Haa😁😂😀😄😄😄😐😐
Nongwa
 
Halima mdee,akiitumia hii video na Ile ya kugeuza misikiti Sunday school ni kampeni tosha za kumuengua huyu jamaa.
Huyu kiukweli mbaguzi Sana wa dini,alikomaaa kipindi like kuhusu ulw msikiti uliojengwa pale airport ya DSM kwa upandw wa pili utadhani kitu gani sijui.wakati masjid ipo nje kabisa ya d.i.a
 
Mimi ni Mkristu lkn sipendi ubaguzi wa kidini.Ukiacha ubaguzi wa kidini huyu baharia (aka Gwaji boy),ana ubaguzi wa Kikabila pia.Binafsi nadeclare interest kuwa simkubali.
 
Back
Top Bottom