The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Walioko siasani ndio hao hao walio kanisani hivyo wote wanahitaji injili na kukemewa DHAMBI zao ikiwamo wizi wa kura na utekaji, ubadhilifu nk nkGwajima kipawa chake kanisani kwenye siasa kajichanganya
Mbona ndani ya CCM wote hakuna kwenye kipawa cha uongoziGwajima kipawa chake kanisani kwenye siasa kajichanganya
Haiwezekani kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmojaWalioko siasani ndio hao hao walio kanisani hivyo wote wanahitaji injili na kukemewa DHAMBI zao ikiwamo wizi wa kura na utekaji, ubadhilifu nk nk
Sema baadhi wewe una uelewa mdogo mno huo utafiti wako wa viongozi wote wa CCM uliufanya lini ?Mbona ndani ya CCM wote hakuna kwenye kipawa cha uongozi
Wapo wengi kama vile Samia, Mchengerwa, Nchimbi, Ridhiwan, Dotto Biteko, Wanu, Hussein Mwinyi, Adam Malima, nkMbona ndani ya CCM wote hakuna kwenye kipawa cha uongozi
Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo?
Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue itamtapeli au watatapeliana kwenye mchezo huu wa kuuziana dhahabu feki kwa kulipana fedha feki?