Tetesi: GWAJIMA KULIAMSHA DUDE LEO

Tetesi: GWAJIMA KULIAMSHA DUDE LEO

Status
Not open for further replies.
Joined
Apr 1, 2019
Posts
96
Reaction score
135
Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima - Archbishop GWAJIMA anatarajia kufanya press conference na waandishi wa habari kanisani kwake-ubungo asubuhi ya leo ya tarehe 08/05/2019 kuanzia muda wa saa tano kamili asubuhi.

Hii inakuja baada ya kusambaaa picha na video zake za faragha katika mitandao mbali mbali ya kijamii.

Aidha, hii hatua itasaidia kujua mbivu na mbichi kuhusu hizo video zilizosambazwa kumhusu yeye.

Stay tuned!
 
Mkuu naomba unitumie PM nione
 
Mimi sii muumini Wa gwajima ila usipotumia macho na akili utaziamini hizo video

Umemaliza kwenye hili mkuu. Ninaanza kuhisi huenda Gwajima anajua mengi sana kuhusu DAB kwani nguvu inayotumika kwake ni kubwa mno why? Halafu DAB anaendelea kuthibitisha kwamba yeye ni dumb kabisa kwa kitendo chake cha kuwa so quick kucomment kwenye hizo zlips na kuanza kutumia vyombo vya serikali akiwemo Mambosasa kwa ajili ya mambo yake binafsi kabisa. Bila aibu wanadai kuna unyama umefanyika, upi huo na nani aliyelalamika? Mdude katekwa hata file halijafunguliwa mpk sasa nadhani lakini hizi clips fake tyr mtu keshaitwa na kuhojiwa. Wanaomshauri DAB wamshauri vzr na awe anakumbushwa kwamba yapo maisha pia baada ya 2025.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom