PreGE2025 Gwajima maji ya shingo, kaanza kutapatapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maji na mafuta yameanza kujitenga dadeki. No reform no election 🔥🔥
 
Ali kibao yuko wapi?deus soka yuko wapi?Chalamila yuko wapi?mdude nyagali yuko wapi? Ukinijibu hawa watu wako wapi. Basi hoja yako dhidi ya askofu gwajima itakuwa na mantiki
 
Mna majeraha mpaka mnamuona gwajiboy mkombozi wenu duh aiseee
 
Kama aliyosema Gwajima ni kutapatapa, basi watanzania wote wanatapatapa.​
 
Gwajima is the best,na alifanya vzr kukaa kimya akifuatlia
Huwezi kumuelewa Leo ila soon tutamuelewa tu.

Huu ni muda sahihi
 
Mambo yake binafsi ya ngono yanahusikaje na alichokisema, wewe hufanyi au hufanywi??
Nyie ndo mtakuwa watekaji wenyewe, tutafika tu, tukichelewa makaburi yenu yatafukuriwa mchapwe viboko mifupa yetu.
UTEKAJI NI DHAMBI KUBWA, kuondoa wapendwa wa watu kwa ukatili kwa matakwa ya watu ni Undezi wa kiwango cha juu mpaka shetani stakuwa abashangaa huko aliko
 
Gwajima atawamaliza, wekeni strategies, acheni tabia ya denial, inawapotosha, jamaa kagonga mshono kisomi, na hayupo peke yake!
 
So what?

Jibuni hoja chawa.. hata saa mbovu wakati mwingine inakupa wakati sahihi itakua binadamu? Kwa hiyo kama ana makandokando hapati uchungu wa roho 83 mlizokula?
 
Huyu atakua mgeni hamjui Gwajima vzr
Pale kaongea Kwa hekima tu
Na kasema ushauri usiposingatiwa atarudia Tena na atakaporudi haitakuwa km hii😅😅
Mchokozeni Gwajiboy ataanika hadharani kila kitu chenu hadi ratiba zenu za kutomberner
 
Watu wengine akili zenu mmezikalia au🙄
 
Mpumbavu kweli wewe unasema. Hana uhakika na watu wanatekwa na kuuwawa kila wakati. Hivi mnakuwaje wapumbavu kiasi ichi?.
CCM imewalea vijana wao kuamini siasa kwa kila jambo hata kwa mambo ambayo hayahitaji siasa, vijana wa UVCCM wamekuwa wajinga kupindukia
 
..lkn anaweza shugulikiwa kipengele cha kodi tu (huyu ni evangelical profit generating scheme), the system will cointain him, hizo statement zake ni suicidal (betrayal is always suicidal), Tapeli Kakobe yuko wapi???
Kwa hiyo kumbe mnaua kweli?gwajima kuzungumzia swala la mauaji unamuita eti msaliti.Awamu hii mmeyatimba jibuni hoja zake
 
Hv mkuu akili yako ndio imegota hapa?? Tuna safari ndefu sana kama Taifa isee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…