Wewe ng'ombe wa Mama, huu uharo wako hapa unatusaidia/unatufundisha nini?Askofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
kanisa, ni kijiwe kinachokuwa regulated na mifumo ya serikali, it happened to Kakobe, sasa yuko wapi?Kakobe yupo kanisani kwake.
he is the invisible prolific killer, ila we kwa IQ yako huwezi nielewaKwa hiyo kumbe mnaua kweli?gwajima kuzungumzia swala la mauaji unamuita eti msaliti.Awamu hii mmeyatimba jibuni hoja zake
UPO KATIKA KAMATI YA UTEKAJAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Sasa si yupo kanisani kwake? Ulitaka awe wapi? Kwanza ameshakuwa mtu mzima!!kanisa, ni kijiwe kinachokuwa regulated na mifumo ya serikali, it happened to Kakobe, sasa yuko wapi?
YOUR WORSHIPING THE CONMANSasa si yupo kanisani kwake? Ulitaka awe wapi? Kwanza ameshakuwa mtu mzima!!
Okay, sisi hatuangalii anachotafuta. Tumetoka na hoja yake ambayo ni vyombo vya usalama vikitaka kufanya uchunguzi wa matukio ya utekaji, utesaji na mauaji vinazuiwa na mamlaka zao za uteuziAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Toa uchafu wakoAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
HAIJALISHI ALIVYOVIFANYAGA INAJILISHA ANACHOKIFANYAAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Nilidhani unahojaAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
HIVI SEREKALI MNATATIZO GANI KWANINI MSI SOLVE KESI ZA UTEKAJI NA MAUAJI KILA....ANAEONGELEA MNATAFUTA UJINGA WAKUONGEA MNACHOSHA NA HUU UTOTO HUU NI UPUUZI MNACHOSHA MWISHO WASIKUU MAGAIDI WATAAMKA HAPA TANZANIA KWASABABU YA UFALA WA HII SEREKALI YA SAMIAAskofu Josephat Gwajima ni mwanasiasa ambaye amekuwa kwa mara kadhaa akitoa matamko na misimamo ambayo inalenga kumtengenezea umaarufu yeye binafsi kwa maslahi yake mwenyewe.
Ikumbukwe mwaka 2019 ziliposambaa mtandaoni picha za ngono ambazo yeye mwenyewe baadae alijitokeza na kusema zimetengenezwa na maadui zake ili kumnyamazisha huku akisisitiza kuwa wamejaribu ila hawawezi kumnyamazisha alilenga kujipatia umaarufu kupitia mfululizo wa majuma kadhaa ambayo alikuwa alitoa hotuba za kujitangaza binafsi kama sehemu ya kujitetea ili ajipatie wafuasi wengi zaidi mitandaoni na kwenye jamii kwa ujumla.
Mwaka 2020 wakati Serikali imetangaza upatikanaji wa chanjo ya CORONA, Gwajima alitumia fursa hiyo kutangaza misimamo ya kushangaza akihamasisha watu kuwa ‘HATUCHANJI’ kitu ambacho alikuwa anakifanya kwa maslahi binafsi kujipatia wafuasi kwenye mitandao ya kijamii.
Leo, baada ya kuona umaarufu na ushawishi wake umeshuka mara dufu amekuja na hii ya kuzungumzia utekaji- jambo ambalo hana uhakika nalo ili kama kawaida yake ajipatie wafuasi wengi zaidi hasa kipindi hiki kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ili akigombea tena ubunge aweze kuonekana ni mtu wa maana.
Waswahili walisema, Debe tupu haliachi kuvuma, ni hakika kwamba Gwajima amekosa ajenda za kumfanya akae kwenye vichwa vya wapiga kura ndiyo maana ameamua kuja sasa na hoja zisizokuwa na mashiko ilimradi kuonekana anatetea jambo fulani.
Ikumbukwe hata kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 hakushinda kwenye kura za maoni ila Chama kwa kutaka kujumuisha makundi ya watu tofauti tofauti bungeni ndipo akapata nafasi ya uteuzi kugombea ili awakilishe kundi la viongozi wa dini. Mwaka huu amepima upepo ameona hali ni mbaya jimboni hakubaliki ndiyomaana anaanza kuja na habari za kukanganya umma kama hizi za utekaji na atakuja nazo nyingi huu ni mwanzo tu, na haya yote anayafanya kwa maslahi binafsi ili kujipatia wafuasi wengi ili akigombea aweze kupata kura!
Kabisa mkuuCCM imewalea vijana wao kuamini siasa kwa kila jambo hata kwa mambo ambayo hayahitaji siasa, vijana wa UVCCM wamekuwa wajinga kupindukia
Na hii ndio hoja ya askofuOkay, sisi hatuangalii anachotafuta. Tumetoka na hoja yake ambayo ni vyombo vya usalama vikitaka kufanya uchunguzi wa matukio ya utekaji, utesaji na mauaji vinazuiwa na mamlaka zao za uteuzi
Mungu ameamua kupigana kinyume cha adui wa mtawala, kwasababu amekataa kuisikiliza sauti za wengiHuyu atakua mgeni hamjui Gwajima vzr
Pale kaongea Kwa hekima tu
Na kasema ushauri usiposingatiwa atarudia Tena na atakaporudi haitakuwa km hii😅😅