DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Gwajima MamaGwajima yupi bwashee
Kumbe !!! Mpigwe tu gademiiitGwajima Mama
Ccm ni Kama mtaa Una kila aina ya watuIla asikudanganyee mtu CCM wt ndio wale wale mkuu🤔
Kamaanisha total reforms kea kutumia minimum reforms😂. Kwakuwa anajua wazi anayetakiwa kuanguka ni nani😂Gwajima hafai kuanza kikosi cha kwanza ,anabidi kutokea benchi .
Kwahiyo Mimi namuita Super sub.
"Eti tuwape minimal reform then tuingie katika uchaguzi tuwapige"
Hakujihangaisha kama wengineKwanza fomu ya ubunge Kawe amechukua kweli?
😂😂😂😂 Alijua kwa wajumbe hatoboiHakujihangaisha kama wengine