babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Gwajima kwenye press conference yake leo amesema mwanzoni alipomsikiliza Ndugai aliona ni kama hoja vile. Akamtumia Ndugai text “this is Ndugai I know”. Ndugai akamwambia mtani mimi nimechanja lakini naumwa. Gwajima akamwambia “mtani hautakufa mpaka tumalize safari…maana yake tufike 2025”
Je, Gwajima amefanya hii press conference kama njia ya kujisafisha kama hizo texts message ziki leak baadae?
Au ni baada ya kuona reaction aliyoipata Ndugai?
Amejaribu kufafanua kwamba alipomtumia “This is Ndugai I know” inaweza kuwa na maana ya Positive au Negative. Lakini mfano, mtu fulani anapofanya au kusema jambo fulani halafu ukamwambia “This is […] I know”. Ni kumsifia alichofanya na kwa upeo wangu haitumiki kama kutoafiki alichofanya au alichosema.