Sema wanamakao makuu ufipa utaeleweka. Lakini sisi wananchi wa kawe na wapiga kura mahili, bado tunaimani kubwa na jemadari josephat gwajimaaaa. Chapa kazi gwajimaa. Tunaimani na weweeWakati unaomba ubunge ulituahidi mambo mengi sana.
Tulikuamini kwa kuwa wewe ni mchungaji yaani mtumishi wa Mungu hivyo hatukujua kama wewe utakuja kutugeuka.
Ulituahidi kutuletea boti za kuvulia samaki kwenye bahari yetu ya Hindi maana ndiyo ipo karibu na makazi yetu.
Ulituahidi kutuletea treni ya abiria kutoka Marekani kwa rafiki zako ili itusaidie masuala ya usafiri lkn hadi Leo hii tunaendelea kuhenyeka na daladala tu.
Mwishowe leo hii unakuja kutukimbiza mchaka mchaka bila kutekeleza ahadi zako za mwaka 2020?
Tumekuchoka mchungaji wa kondooo,Rudi kanisani mambo ya siasa waachie wenyewe.
Kila mtanzania mwenye akili anawajua maccm kuwa maisha yenu ni Sawa na walevi wanywa gongo maana kila ukinywa lazima ufumbe machoSema wanamakao makuu ufipa utaeleweka. Lakini sisi wananchi wa kawe na wapiga kura mahili, bado tunaimani kubwa na jemadari josephat gwajimaaaa. Chapa kazi gwajimaa. Tunaimani na wewee
Umeonaeeeee? Anajiita mfufua wafuNa nyie wananchi hyo tren aliyowahidi ilikuwa ijee ipitee Kwenye njiaa ipii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]. Wana siasa n nyokoo sanaa na huyu njee ya ubunge n mchungaji pia yaan anadanganya kanisani anafufua watu na uku Kwenye ubunge anawadanganya piaa yaan mpk tusemeee..
Nani amekupa malamla ya kuwasemea wanaKawe?Sema wanamakao makuu ufipa utaeleweka. Lakini sisi wananchi wa kawe na wapiga kura mahili, bado tunaimani kubwa na jemadari josephat gwajimaaaa. Chapa kazi gwajimaa. Tunaimani na wewee
Ni tapeli kama matapeli wengine tuNa nyie wananchi hyo tren aliyowahidi ilikuwa ijee ipitee Kwenye njiaa ipii mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]. Wana siasa n nyokoo sanaa na huyu njee ya ubunge n mchungaji pia yaan anadanganya kanisani anafufua watu na uku Kwenye ubunge anawadanganya piaa yaan mpk tusemeee..
Kaivamia siasa kwa shinikizo la Jiwe sasa anahangaikaSiasa ni mchezo mchafu
Labda Japan ya Lumumba [emoji23]Alisema vijana wa kawe atawapeleka japan kwenye vyuo vya mafunzo vipi aliwapeleka
Mkuu kura siyo tegemeo la ccm,maana hata uchaguzi uliopita kura za wananchi hazikupewa kipaumbeleKura zitaamua hayo uyasemayo
If you can't fight them...join themMkuu kura siyo tegemeo la ccm,maana hata uchaguzi uliopita kura za wananchi hazikupewa kipaumbele
Sent from my Pixel 6 using JamiiForums mobile app
Mainjinia wamechelewa kumaliza matengenezo. Naomba mnipatie miaka mingine 5 ili niendelee kuwahimiza wamalize kutengeneza.Ulituahidi kutuletea treni ya abiria kutoka Marekani kwa rafiki zako