Gwajima yuko sahihi na ninasimama nae

Hakika
 
Yeye ni mbunge,Akapaze Saudi bungeni,Asilete chokochoko za dini kwenye nyumba za ibada,Na hii siyo yeye tu ni kwa dini zote.
Japo wewe ni mpumbavu naomba tu nikujibu kiungwana, Gwajima anajua wazi kuwa wanufaika wakubwa wa utekaji na mauaji hayo wapo hukohuko bungeni, kwa hiyo ingekuwa vigumu kwake kuongelea masuala hayo huko,

Pili, hakuna sheria yoyote inayokataza kiongozi wa dini kukumea maovu ndani ya nyumba ya ibada, utekaji na mauaji ni uovu tu kama mwingine, so ni m9ja ya jukumu lake kukemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…