Irenga
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 2,639
- 1,873
Gwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha United hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada ya kuifunga Timu ya Pamba FC kwa Goli moja kwa Sifuri , goli la Meshack Abraham dakika ya 90+1'
Timu inafundishwa na Kocha Fulgence Novatus aliyepandisha Daraja Timu ya Namungo FC . Hongera sana na Karibu Ligi Kuu, Gwambina FC " Tuko Pamoja".
.
Timu inafundishwa na Kocha Fulgence Novatus aliyepandisha Daraja Timu ya Namungo FC . Hongera sana na Karibu Ligi Kuu, Gwambina FC " Tuko Pamoja".