Huo uwanja wao mbona meter zake ndogo sanaGwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha FC hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada ya kuifunga Timu ya Pamba FC kwa Goli moja kwa Sifuri , goli la Meshack Abraham dakika ya 90+1'
Timu inafundishwa na Kocha Fulgence Novatus aliyepandisha Daraja Timu ya Namungo FC . Hongera sana na Karibu Ligi Kuu, Gwambina FC " Tuko Pamoja".
View attachment 1490987View attachment 1490988View attachment 1490989View attachment 1490990.
JKT Oljoro bado Ipo, haina uhusiano wowote na GwambinaGwambina Football Club yenye Maskani yake Misungwi, Mwanza hapo awali ilifahamika kama JKT Oljoro kabla haijabailishwa jina kuitwa Arusha FC hatimae kuuzwa mwaka 2018 Tajiri wa Misungwi Ndg. Alexander Mnyeti hatimae imepanda Daraja kucheza Ligi Kuu Tanzania Bara musimu wa mwaka 2020/21 baada ya kuifunga Timu ya Pamba FC kwa Goli moja kwa Sifuri , goli la Meshack Abraham dakika ya 90+1'
Timu inafundishwa na Kocha Fulgence Novatus aliyepandisha Daraja Timu ya Namungo FC . Hongera sana na Karibu Ligi Kuu, Gwambina FC " Tuko Pamoja".
View attachment 1490987View attachment 1490988View attachment 1490989View attachment 1490990.
Na dio kwenye mabilionea kila silu tunawasikiaArusha inatia aibu sana. Sijui tatizo liko wapi.
Asha ushamba wewe ..mpira siyo hulka ya watu wa Arusha.Arusha inatia aibu sana. Sijui tatizo liko wapi.
Wewe ndie huna hulka ya mpira. Endelea kunywa viroba na ugoro.Asha ushamba wewe ..mpira siyo hulka ya watu wa Arusha.
Kiufupi kaskazini hatuna hulka na mpira wa bongo kivile ndo matajiri wengi hawajawekeza uko