Baba achana na hii kitu ni utapeli toka jana hela zetu zipo frozen hazitoki maadmin wamefunga chats kwenye group na wamekimbia group zao za Whatsapp kama umefanya muamala kwao cheki na Vodacom tigo or Airtel money warudishe pesa yako kama hawaja toa bado