TANZIA Gwiji wa Muziki wa Reggae nchini, Jah Kimbute amefariki dunia

One bright morning when man work is over man will fly away home.

Easy transition brother
 
huyu mwezentu tuliwahi kumshauri ( ma-rastafarians) kuondoa neno la 'Jah' kwenye majina yake ya kisanii lakini alikataaa kata kata,
 
M.A.P Jah Kimbute nakukumbuka sana ulivyokuwa unaturusha Y.M.C.A Maeneo ya Posta miaka ya 90's enzi hizo nakaa UPANGA.
 
huyu mwezentu tuliwahi kumshauri ( ma-rastafarians) kuondoa neno la 'Jah' kwenye majina yake ya kisanii lakini alikataaa kata kata,

Labda unaongea vitu usivyokuwa na ufahamu navyo.
 
huyu mwezentu tuliwahi kumshauri ( ma-rastafarians) kuondoa neno la 'Jah' kwenye majina yake ya kisanii lakini alikataaa kata kata,
Kwani mliamua kumshauri hivyo?
 
RIP brother. No body can stop reggae x3 .🎢🎢
 
Dah, nimesikitika sana,Rastafarians ni watu walio peace sana,sema tu jamii haiwatambui
 
R. I. P brother Kimbute. Ni juzi tu nimemkumbuka, nilikuwa nafikiria nikirudi Tanzania nimtafute tupige story.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€nmeanza kuamini ule utafiti kuwa "watanzania ni watu wanaoongoza kuwa na furaha"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…