Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hongera sana Kahyoza. Je ugwiji wako umetokana na nini?Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Hatua hiyo inadhihirisha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kupitia jukwaa la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Huyu ni Abunwasi mwache hivyo hivyoKwann usiseme mchumi wa kagera ,tumeshakuwa na akina muhongo bado taifa likapata hasara ......msomi mzima haelewi umuhimu wa reforms na unashuhudia akithibitisha ujinga kwa kuchukua form
Sasa chadema ndo hadi 2030 kweli?Mtaalamu mahiri wa masuala ya uchumi nchini, Dkt. Bravious Kahyoza, amechukua rasmi fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini mkoani Kagera kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Hatua hiyo inadhihirisha dhamira yake ya dhati ya kuwatumikia wananchi kupitia jukwaa la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Akiweka nishtue, tusome nondo zakeWeka hapa andiko lake linaloelezea mambo ya kiuchumi.
Hana uhusiano.Kayonza pharmacy