Wadau naombeni maoni yenu na ushauri pia. Ni msafiri wa almost 600km kila weekend, na trip ndefu za 1000+km ocassionally. (Twice/thrice per year. Saasa kuna mvutano kidogo wa uchaguzi kati ya gx110 na Ist.
Ni gari ipi yaweza kunifaa sana kwa hayo matumizi tajwa hapo juu...?
Naam kama ni mtu wa safari na barabara ni nzuri(Lami) basi GX110 ndio yenyewe, Powerful, Comfortable and stable ila kua makini maana GX110 unaweza kumaliza dashboard bila kujua!
Kila la heri
Naam kama ni mtu wa safari na barabara ni nzuri(Lami) basi GX110 ndio yenyewe, Powerful, Comfortable and stable ila kua makini maana GX110 unaweza kumaliza dashboard bila kujua!
Kila la heri