Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
- Thread starter
-
- #21
Labda kwa uko uko GEITA wasiojua bei za magari, lkn dar hizo mpaka ml8 unapata tena namba c. Ila wajinga awaishi bana jaribu bahati yako utampata tu
Nina 8m cash
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi, chukua kitu wese ni kimiminika tu!