Gx90, Gx 100, vs Gx 110

Gx90, Gx 100, vs Gx 110

The golden

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
1,382
Reaction score
2,582
Ukilinganisha hizi gari zenye engine ya IG ,zile za zamani kama chaser ,gx90 mark II Gx 100 na hizi mark za sasa Gx 110 unaweza kuona utofauti katika uimara wake.

Hizi Gx 110 bodi lake limekuwa laina sana ulilinganisha na zile za awali .
 
Kweli kabisa, lkn bado ngumu. Huwezi linganisha na haya ma Mark X sjui Crown
 
Attachments

  • 1725264803811.jpg
    1725264803811.jpg
    271.3 KB · Views: 8
Familia ya Mark 2 hii au nakosea
Ofcourse hujakosea.. zote ni Mark Series, ilianza Gx80, ikaja Gx90 ikaja Gx100 ikaja Gx110 (Mark11 Grande) na sasa finally ipo Mark X. Hzo gari ni tamu sana. Comfortability na speed.. ndo maana zmekuw zkitengenezwa kwa mwendelezo hadi sasa. Znaaminika mno. Hata izo model za zaman znazishinda gar nyingi za kisasa kwa ugumu na performance. Pia haziaribiki ovyo. Engine ngum.. 1g fe, plain na Beams 2000 VVTi
 
Uko sahihi
 
Back
Top Bottom