The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
Kweli kabisa, lkn bado ngumu. Huwezi linganisha na haya ma Mark X sjui CrownUkilinganisha hizi gari zenye engine ya IG ,zile za zamani kama chaser ,gx90 mark II Gx 100 na hizi mark za sasa Gx 110 unaweza kuona utofauti katika uimara wake.
Hizi Gx 110 bodi lake limekuwa laina sana ulilinganisha na zile za awali .
Gx 100 hiyoYanafananaje ungedrop picha tafadhali
Familia ya Mark 2 hii au nakoseaGx 100 hiyo
GX100 naikubali sana ile box design.Gx 100 hiyo
Ofcourse hujakosea.. zote ni Mark Series, ilianza Gx80, ikaja Gx90 ikaja Gx100 ikaja Gx110 (Mark11 Grande) na sasa finally ipo Mark X. Hzo gari ni tamu sana. Comfortability na speed.. ndo maana zmekuw zkitengenezwa kwa mwendelezo hadi sasa. Znaaminika mno. Hata izo model za zaman znazishinda gar nyingi za kisasa kwa ugumu na performance. Pia haziaribiki ovyo. Engine ngum.. 1g fe, plain na Beams 2000 VVTiFamilia ya Mark 2 hii au nakosea
Uko sahihiOfcourse hujakosea.. zote ni Mark Series, ilianza Gx80, ikaja Gx90 ikaja Gx100 ikaja Gx110 (Mark11 Grande) na sasa finally ipo Mark X. Hzo gari ni tamu sana. Comfortability na speed.. ndo maana zmekuw zkitengenezwa kwa mwendelezo hadi sasa. Znaaminika mno. Hata izo model za zaman znazishinda gar nyingi za kisasa kwa ugumu na performance. Pia haziaribiki ovyo. Engine ngum.. 1g fe, plain na Beams 2000 VVTi