Gym inaweza rudisha heshima ya ndoa yako kabisaaa.

Sasa nyie wanaume mnatuchanganya!,,,,mara mtu ukifanya mazoezi sana unapoteza hamu ya mapenzi,mara ukifanya mazoezi unachoka sana hivyo unamaliza haraka,haya hii nyingine tena ukifanya mazoezi unakaa muda mrefu jamani lipi ni lipi????
 

Miguu inakua ka spoku za baiskeli....
 
Mkuu upo ryt khs gym, huwa inasaidia sana ktk mambo fulani ila sio gym tu pekee inabidi pia ujue jinsi ya kumuandaa gf/mke wako maana vinginevyo hayo mazoezi yako yanaweza kuwa adhabu tu kwa mwenzio.
Kula gym ujenge body kaka, nilikuwa napiga gym na soka pia kwaajili ya kuweka sawa punzi, kwa sasa nimepunzika kutokana na majukumu. Nakomaa na push-ups nazo ni nzuri zinajenga pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…