martial arts
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 191
- 100
Kama nilivyokwisha kusema hapo juu, mwenye uelewa wa gym ya kawaida tu ambayo ina dips bars,pull ups bars na vifaa vingine kwa ajili ya weight na strength exercises ambayo bei yake haizidi 3000 per day kwa maeneo yote karibu na fire,unaweza kunijulisha!
Nawasilisha.
Nawasilisha.